Posts

Showing posts from February, 2021

DKT NCHIMBI ATANGAZA NEEMA SINGIDA

Image
  MkuuwaMkoa wa Singida Dtk. RehemaNchimbi k atikati akiongoza Kongamano la Fursa za Uwekezaj ikwenye Mkoa wa Singida, Kulia ni Katibu wa CCM Mkoa wa Singida Lucy Sheen, kushoto ni Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dkt. Angelina Lutambi. Wakuu  waWilaya zaMkoawaSingida(kwenye mstari wa kwanza) wakifuatilia Mada mbalimbali wakati wa Kongamano la uwekezaji Mkoani Singida. AfisaUhamasishaji Uwekezaji Mkuu kutoka Kituo cha Uwekezaji nchini, Joyce Shundu akiwasilisha mada ya “ Mazingira na Fursa za Uwekezaji Nchini” amepongeza jitihada na mikakati mbalimbali inayofanywa na MkoawaSingida Viongozi wa Wachimbaji Madini Mkoa wa Singida wakiwa kwenye banda lao wakionyesha madini mbalimbali kwa wadau waliotembelea banda  la wachimbaji wa madini Mkoa wa Singida (SIREMA). Wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo wakionyesha bidhaa zao RAS ASEMA MKOA UMEJIANDAA KIKAMILIFU   Na John Mapepele, Singida Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe, Dkt. Rehema Nchimbi  amewataka  Wawekezaji kutoka...

WAZIRI MKUU AZINDUA MWONGOZO WA UWEKEZAJI MKOANI SINGIDA

Image
  WAZIRI anayeshughulikia Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji Mkoani Singida kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi na katikati ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Angelina Lutambi   WAZIRI anayeshughulikia Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji Mkoani Singida kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi na katikati ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Angelina Lutambi Kikundi cha Ngoma Asili cha Sarakasi wakitumbuiza wakati wa uzinduzi wa Mwongozo huo Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi mwenye kilemba cheupe akishiriki kucheza ngoma ya asilina wadau mbalimbali WAZIRI wa Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo akikagua baadhi bidhaa zilizoletwa na wadau mbalimbali Kwaya ya Chuo cha Utumishi Singida wakitumbuiza wakati wa tukio hilo Na John Mapepele, Singida Waziri kuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassimu Majaliwa  amezitaka  Maml...

AGIZO LA MAGUFULI KUMALIZA MGOGORO WA ARDHI WA BI ELIZABETH MANYONI LATEKELEZWA 100%

Image
  Bibi Elizabeth Msalali Chilingo (90) (aliyeshika  hati  ya ardhi) akiwa kwenye picha ya pamoja  na  Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Dkt. Rehema Nchimbi( mwenye msalaba), Viongozi wa  Wilaya ya Manyoni,wataalam wa ardhi  Mkoa  wa Singida na wanafamilia  mara baada ya kukabidhiwa hati hiyo ya eneo lake lilichukuliwa na Afisa Ardhi aitwaye Leonard Msafiri na kisha kupangishwa  kwa Kampuni  mmoja ya simu za mikono ambapo  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli aliagiza  lirejeshwe mara moja  kwa  bibi huyo ambaye ndiye ataingia  mkataba  wa upangaji na Kampuni  hiyo Bibi Elizabeth Msalali Chilingo (90) akitoa shukrani zake kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  mara baada  ya kukabidhiwa  hati ya eneo lake                                 ...